Hanifa daudi biography

NAMUONA LULU NDANI YA JENNIFER KANUMBA

KWA wafuatiliaji wa filamu tangu enzi zile ambazo filamu ilikuwa filamu kwelikweli, watakuwa wanamkumbuka vizuri binti mdogo aliyekuwa akifahamika kwa jina la Hanifa Daudi ‘Jennifer Kanumba’.

Huyu ni mmoja wa wasanii walioibuliwa na marehemu Steven Kanumba ambapo alikuwa akimtumia kwenye filamu zake mbalimbali akiwa na mwenzake wa kiume anayefahamika kwa jina la Patrick.

 

Patrick na Jennifer walikuwa ‘mapacha’ ambao ilikuwa wakiigiza filamu na Kanumba ni lazima ibambe.

Steve Kanumba: Historia; Kazi zake na Mengineyo - JamiiForums

Hii ilitokana na vipaji walivyokuwa navyo watoto hawa.

 

Walikuwa watundu, wabunifu na waliokuwa wakijua kujiongeza wanapokuwa mbele ya kamera. Kutokana na uwezo wao huo, wengi waliwatabiria makubwa. Jennifer na Patrick walionekana kuja kuwa mastaa wa baadaye na hakika Jennifer alikuwa akipita mulemule alimopita staa mkubwa wa filamu Bongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’.

Kwa wasiofahamu Lulu alianza kuigiza akiwa na umri mdogo sa Steve Kanumba: Historia; Kazi zake na Mengineyo - JamiiForums, carousel KUCU